Numbers 32:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nchi ambayo Mwenyezi-Mungu alishinda kwa ajili ya jumuiya ya Israeli, ni nchi nzuri kwa mifugo, nasi tunayo mifugo mingi sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nchi ambayo Mwenyezi Mungu ameishinda mbele ya Waisraeli, inafaa kwa mifugo, nao watumishi wako wana mifugo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nchi hiyo ambayo Bwana aliipiga mbele ya mkutano wa Israeli, ni nchi ifaayo kwa mfugo wa wanyama, nasi watumishi wako tuna wanyama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nchi ambayo Mwenyezi-Mungu alishinda kwa ajili ya jumuiya ya Israeli, ni nchi nzuri kwa mifugo, nasi tunayo mifugo mingi sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nchi ambayo BWANA ameishinda mbele ya wana wa Israeli inafaa kwa mifugo, nao watumishi wako wana mifugo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nchi ambayo bwana ameishinda mbele ya wana wa Israeli, inafaa kwa mifugo, nao watumishi wako wana mifugo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nchi hiyo ambayo BWANA aliipiga mbele ya mkutano wa Israeli, ni nchi ifaayo kwa mifugo, nasi watumishi wako tunayo mifugo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nchi ambayo Mwenyezi-Mungu alishinda kwa ajili ya jumuiya ya Israeli, ni nchi nzuri kwa mifugo, nasi tunayo mifugo mingi sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hizi nchi, Bwana alizozipiga mbele ya mkutano wa Isiraeli, ni nchi zifaazo kwa kufuga nyama, nasi watumishi wako tunao nyama wa kufuga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nchi hiyo ambayo BWANA aliipiga mbele ya mkutano wa Israeli, ni nchi ifaayo kwa mfugo wa wanyama, nasi watumishi wako tuna wanyama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
inchi ambayo Yawe alishinda kwa ajili ya Waisraeli, ni inchi nzuri kwa mifugo, nasi tuko na mifugo mingi sana.