Numbers 32:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, Mose akawapa watu wa ukoo wa Makiri mwana wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Musa akawapa Wamakiri, wazao wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akampa Makiri, mwana wa Manase, Gileadi, naye akakaa humo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, Mose akawapa watu wa ukoo wa Makiri mwana wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Mose akawapa Wamakiri, wazao wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Musa akawapa Wamakiri, wazao wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akampa Makiri, mwana wa Manase, Gileadi, naye akakaa humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, Mose akawapa watu wa ukoo wa Makiri mwana wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akampa Makiri, mwana wa Manase, mji wa Gileadi, akakaa humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akampa Makiri, mwana wa Manase, Gileadi, naye akakaa humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Musa akawapa watu wa ukoo wa Makiri mwana wa Manase, inchi ya Gileadi, nao wakakaa mule.