Numbers 32:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yairi, wa kabila la Manase, alishambulia vijiji kadhaa vya Gileadi na kuviteka, akavipa jina Hawoth-yairi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yairi, mzao wa Manase, akateka makazi yao, akayaita Hawoth-Yairi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yairi mwana wa Manase akaenda na kuvitwaa vijiji vya Gileadi. Akaviita jina lake Hawoth-yairi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yairi, wa kabila la Manase, alishambulia vijiji kadhaa vya Gileadi na kuviteka, akavipa jina Hawoth-yairi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yairi, mzao wa Manase, akateka makao yao, akayaita Hawoth-Yairi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yairi, mzao wa Manase, akateka makao yao, akayaita Hawoth-Yairi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yairi mwana wa Manase akaenda na kuvitwaa vijiji vya Gileadi. Akaviita jina lake Hawoth-yairi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yairi, wa kabila la Manase, alishambulia vijiji kadhaa vya Gileadi na kuviteka, akavipa jina Hawoth-yairi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Yairi, mwana wa Manase, akaenda, akaviteka vijiji vyao vya mahema, akaviita vijiji vya Mahema ya Yairi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yairi mwana wa Manase akaenda na kuvitwaa vijiji vya Gileadi. Akaviita jina lake Hawoth-yairi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yairi, wa kabila la Manase, akashambulia vijiji vya Gileadi na kuviteka, akavipa jina “Vijiji vya Yairi”.