Numbers 32:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Noba aliishambulia na kuiteka Kenathi na vijiji vyake, akauita Noba, jina lake mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Noba akateka Kenathi na makazi yaliyoizunguka, akayaita Noba kwa jina lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Noba akaenda na kutwaa Kenathi na vijiji vyake, na kuita jina lake Noba, kwa kuandama jina lake mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Noba aliishambulia na kuiteka Kenathi na vijiji vyake, akauita Noba, jina lake mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Noba akateka Kenathi na makao yaliyoizunguka, akayaita Noba kwa jina lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Noba akateka Kenathi na makao yaliyoizunguka, akayaita Noba kwa jina lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Noba akaenda na kutwaa Kenathi na vijiji vyake, na kuita jina lake Noba, kwa kuandama jina lake mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Noba aliishambulia na kuiteka Kenathi na vijiji vyake, akauita Noba, jina lake mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Noba akaenda, akauteka Kenati na mitaa yake, akauita kwa jina lake Noba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Noba akaenda na kutwaa Kenathi na vijiji vyake, na kuita jina lake Noba, kwa kuandama jina lake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Noba akashambulia na kuteka Kenati na vijiji vyake, akauita Noba, jina lake mwenyewe.