Numbers 32:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kama mkitukubalia tunawaomba mtupe nchi hii iwe mali yetu; msituvushe ngambo ya mto Yordani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, nchi hii na ipewe watumishi wako kama milki yetu. Usitufanye tuvuke Yordani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasema, Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, sisi watumishi wako na tupewe nchi hii iwe milki yetu; usituvushe mto wa Yordani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kama mkitukubalia tunawaomba mtupe nchi hii iwe mali yetu; msituvushe ng'ambo ya mto Yordani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, nchi hii na ipewe watumishi wako kama miliki yetu. Usitufanye tuvuke Yordani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, nchi hii na ipewe watumishi wako kama milki yetu. Usitufanye tuvuke Yordani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasema, Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, sisi watumishi wako na tupewe nchi hii iwe milki yetu; usituvushe mto wa Yordani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kama mkitukubalia tunawaomba mtupe nchi hii iwe mali yetu; msituvushe ngambo ya mto Yordani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakasema: Kama tumeona upendeleo machoni pako, sisi watumishi wako, na tupewe nchi hizi, tuzichukue, usituvukishe mto wa Yordani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasema, Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, sisi watumishi wako na tupewe nchi hii iwe milki yetu; usituvushe mto wa Yordani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, kama tumepata kukubaliwa mbele yako, wewe Musa, tunakuomba utupatie inchi hii ikuwe mali yetu; usituvukishe ngambo ya muto Yordani.