Numbers 32:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akawajibu watu wa makabila ya Gadi na Reubeni, “Je, mnataka kubaki hapa huku ndugu zenu Waisraeli wanakwenda vitani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akawaambia Wagadi na Wareubeni, “Je, watu wa nchi yenu wataenda vitani wakati ninyi mmeketi hapa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akawaambia wana wa Gadi na wana wa Reubeni, Je! Ndugu zenu waende vitani nanyi mtaketi hapa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akawajibu watu wa makabila ya Gadi na Reubeni, “Je, mnataka kubaki hapa huku ndugu zenu Waisraeli wanakwenda vitani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akawaambia Wagadi na Wareubeni, “Je, watu wa nchi yenu watakwenda vitani wakati ninyi mmeketi hapa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akawaambia Wagadi na Wareubeni, “Je, watu wa nchi yenu watakwenda vitani wakati ninyi mmeketi hapa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akawaambia wana wa Gadi na wana wa Reubeni, Je! Ndugu zenu waende vitani nanyi mtaketi hapa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akawajibu watu wa makabila ya Gadi na Reubeni, “Je, mnataka kubaki hapa huku ndugu zenu Waisraeli wanakwenda vitani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Mose alipowaambia wana wa Gadi na wana wa Rubeni: Mbona mnataka, ndugu zenu waende vitani, ninyi mkikaa hapo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akawaambia wana wa Gadi na wana wa Reubeni, Je! Ndugu zenu waende vitani nanyi mtaketi hapa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawajibu watu wa makabila ya Gadi na Rubeni: Munataka kubaki hapa wakati wandugu zenu Waisraeli wanakwenda kwa vita?