Numbers 32:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona mnawavunja moyo Waisraeli wasiende katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu amewapa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini mmewakatisha Waisraeli tamaa wasivuke katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu amewapa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona mwawavunja mioyo yao wana wa Israeli, wasivuke na kuingia nchi hiyo ambayo Bwana amewapa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona mnawavunja moyo Waisraeli wasiende katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu amewapa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini mmewakatisha Waisraeli tamaa wasivuke katika nchi ambayo BWANA amewapa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini mmewakatisha Waisraeli tamaa wasivuke katika nchi ambayo bwana amewapa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona mwawavunja mioyo yao wana wa Israeli, wasivuke na kuingia nchi hiyo ambayo BWANA amewapa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona mnawavunja moyo Waisraeli wasiende katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu amewapa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbona mnataka kuikataza mioyo ya wana wa Isiraeli, wasivuke na kuiingia nchi, Bwana aliyowaapia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona mwawavunja mioyo yao wana wa Israeli, wasivuke na kuingia nchi hiyo ambayo BWANA amewapa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbona munawavunja moyo Waisraeli wasiende katika inchi ambayo Yawe amewapa?