Numbers 33:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walisafiri kutoka Elimu, wakapiga kambi yao karibu na bahari ya Shamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Elimu wakapanga karibu na Bahari ya Shamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walisafiri kutoka Elimu, wakapiga kambi yao karibu na bahari ya Shamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Elimu wakapiga kambi karibu na Bahari ya Shamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walisafiri kutoka Elimu, wakapiga kambi yao karibu na bahari ya Shamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waalipondoka Elimu wakapiga makambi kwenye Bahari Nyekundu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Elimu wakapanga karibu na Bahari ya Shamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakasafiri kutoka Elimu, wakapiga kambi yao karibu na bahari ya Nyekundu.