Numbers 33:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Bahari ya Shamu walipiga kambi yao katika jangwa la Sini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Bahari ya Shamu, wakapanga katika nyika ya Sini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Bahari ya Shamu walipiga kambi yao katika jangwa la Sini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka kando ya Bahari ya Shamu na kupiga kambi katika Jangwa la Sini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Bahari ya Shamu, wakapiga kambi katika nyika ya Sini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Bahari ya Shamu walipiga kambi yao katika jangwa la Sini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka kwenye Bahari Nyekundu wakapiga makambi nyikani kwa Sini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Bahari ya Shamu, wakapanga katika nyika ya Sini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka bahari Nyekundu wakapiga kambi yao katika jangwa la Sini.