Numbers 33:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Alushi walipiga kambi yao huko Refidimu, ambapo hapakuwa na maji ya kunywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji ya watu kunywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Alushi, wakapanga Refidimu, ambapo hapakuwa na maji ya watu kunywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Alushi walipiga kambi yao huko Refidimu, ambapo hapakuwa na maji ya kunywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji kwa ajili ya watu kunywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji kwa ajili ya watu kunywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, ambapo hapakuwa na maji ya watu kunywa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Alushi walipiga kambi yao huko Refidimu, ambapo hapakuwa na maji ya kunywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka Alusi wakapiga makambi Refidimu; huko ndiko, watu walikokosa maji ya kunywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Alushi, wakapanga Refidimu, ambapo hapakuwa na maji ya watu kunywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Alusi wakapiga kambi yao huko Refidimu, ambapo hapakukuwa maji ya kunywa.