Numbers 33:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Tera walipiga kambi yao Mithka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Tera na kupiga kambi huko Mithka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Tera, wakapanga Mithka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Tera walipiga kambi yao Mithka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Tera na kupiga kambi huko Mithka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Tera na kupiga kambi huko Mithka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Tera, wakapiga kambi Mithka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Tera walipiga kambi yao Mithka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka Tara wakapiga makambi Mitika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Tera, wakapanga Mithka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Tera wakapiga kambi yao Mitika.