Numbers 33:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Mithka, walipiga kambi yao Hashmona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Mithka na kupiga kambi huko Hashmona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Mithka, wakapanga Hashmona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Mithka, walipiga kambi yao Hashmona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Mithka na kupiga kambi huko Hashmona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Mithka na kupiga kambi huko Hashmona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Mithka, wakapiga kambi Hashmona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Mithka, walipiga kambi yao Hashmona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka Mitika wakapiga makambi Hasimona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Mithka, wakapanga Hashmona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Mitika, wakapiga kambi yao Hasimona.