Numbers 33:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Moserothi, walipiga kambi yao Bene-yaakani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Moserothi na kupiga kambi huko Bene-Yaakani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Moserothi, wakapanga Bene-yakani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Moserothi, walipiga kambi yao Bene-yaakani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Moserothi na kupiga kambi huko Bene-Yakani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Moserothi na kupiga kambi huko Bene-Yakani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Moserothi, wakapiga kambi Bene-yaakani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Moserothi, walipiga kambi yao Bene-yaakani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka Moseroti wakapiga makambi kwa wana wa Yakani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Moserothi, wakapanga Bene-yakani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Musaroti, wakapiga kambi yao Bene-Yaakani.