Numbers 33:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Bene-yaakani, walipiga kambi yao Hor-hagidgadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Bene-Yaakani na kupiga kambi huko Hor-Hagidgadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Bene-yakani, wakapanga Hor-hagidgadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Bene-yaakani, walipiga kambi yao Hor-hagidgadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Bene-Yakani na kupiga kambi huko Hor-Hagidgadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Bene-Yakani na kupiga kambi huko Hor-Hagidgadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Bene-yaakani, wakapiga kambi Hor-hagidgadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Bene-yaakani, walipiga kambi yao Hor-hagidgadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka kwa wana wa Yakani wakapiga makambi Hori-Hagidigadi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Bene-yakani, wakapanga Hor-hagidgadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Bene-Yaakani, wakapiga kambi yao Hori-Hagidigadi.