Numbers 33:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliondoka Esion-geberi, wakasafiri na kupiga kambi yao katika jangwa la Sini, (yaani Kadeshi).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Esion-geberi, wakapanga katika nyika ya Sini (ni Kadeshi).
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliondoka Esion-geberi, wakasafiri na kupiga kambi yao katika jangwa la Sini, (yaani Kadeshi).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Esion-geberi, wakapiga kambi katika nyika ya Sini (ni Kadeshi).
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliondoka Esion-geberi, wakasafiri na kupiga kambi yao katika jangwa la Sini, (yaani Kadeshi).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka Esioni-Geberi wakapiga makambi nyikani kwa Sini, ndio Kadesi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Esion-geberi, wakapanga katika nyika ya Sini (ni Kadeshi).
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliondoka Esioni-Geberi, wakasafiri na kupiga kambi yao katika jangwa la Sini, ni kusema Kadesi.