Numbers 33:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Kadeshi, walipiga kambi yao mlimani Hori, mpakani mwa nchi ya Edomu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Kadeshi na kupiga kambi kwenye Mlima Hori, mpakani mwa Edomu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Kadeshi wakapanga katika mlima wa Hori, katika mpaka wa nchi ya Edomu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Kadeshi, walipiga kambi yao mlimani Hori, mpakani mwa nchi ya Edomu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Kadeshi na kupiga kambi kwenye Mlima Hori, mpakani mwa Edomu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Kadeshi na kupiga kambi kwenye Mlima Hori, mpakani mwa Edomu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Kadeshi wakapiga kambi katika mlima wa Hori, katika mpaka wa nchi ya Edomu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Kadeshi, walipiga kambi yao mlimani Hori, mpakani mwa nchi ya Edomu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka Kadesi wakapiga makambi mlimani kwa Hori kwenye mwisho wa nchi ya Edomu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Kadeshi wakapanga katika mlima wa Hori, katika mpaka wa nchi ya Edomu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Kadesi, wakapiga kambi yao juu ya mulima Hori, kwenye mupaka wa inchi ya Edomu.