Numbers 33:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa agizo la Mwenyezi-Mungu kuhani Aroni alipanda juu ya Mlima Hori, na huko, akafariki mnamo siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa arubaini tangu Waisraeli walipotoka nchini Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa amri ya Mwenyezi Mungu, kuhani Haruni alipanda Mlima Hori, mahali alipofia katika siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa arobaini baada ya Waisraeli kutoka Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haruni akakwea mlima wa Hori, kwa amri ya Bwana, akafa hapo, katika mwaka wa arobaini baada ya wana wa Israeli kutoka katika nchi ya Misri, mwezi wa tano, siku ya kwanza ya mwezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa agizo la Mwenyezi-Mungu kuhani Aroni alipanda juu ya Mlima Hori, na huko, akafariki mnamo siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa arubaini tangu Waisraeli walipotoka nchini Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa amri ya BWANA, kuhani Aroni alipanda Mlima Hori, mahali alipofia katika siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa arobaini baada ya Waisraeli kutoka Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa amri ya bwana, kuhani Haruni alipanda Mlima Hori, mahali alipofia katika siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa arobaini baada ya Waisraeli kutoka Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haruni akakwea mlima wa Hori, kwa amri ya BWANA, akafa hapo, katika mwaka wa arobaini baada ya wana wa Israeli kutoka katika nchi ya Misri, mwezi wa tano, siku ya kwanza ya mwezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa agizo la Mwenyezi-Mungu kuhani Aroni alipanda juu ya Mlima Hori, na huko, akafariki mnamo siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa arubaini tangu Waisraeli walipotoka nchini Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mtambikaji Haroni alipopanda mlimani kwa Hori kwa kuagizwa na Bwana, akafa huko siku ya kwanza ya mwezi wa tano katika mwaka wa arobaini tangu hapo, wana wa Isiraeli walipotoka katika nchi ya Misri;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haruni akakwea mlima wa Hori, kwa amri ya BWANA, akafa hapo, katika mwaka wa arobaini baada ya wana wa Israeli kutoka katika nchi ya Misri, mwezi wa tano, siku ya kwanza ya mwezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa agizo la Yawe kuhani Haruni akapanda juu ya mulima Hori, na huko, akakufa katika siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa makumi ine tangu Waisraeli walipotoka katika inchi ya Misri.