Numbers 33:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aroni alikuwa na umri wa miaka 123 alipofariki juu ya Mlima Hori.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haruni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka mia moja ishirini na tatu (123).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Haruni alikuwa mtu wa umri wa miaka mia na ishirini na mitatu hapo alipokufa katika mlima wa Hori.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aroni alikuwa na umri wa miaka 123 alipofariki juu ya Mlima Hori.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aroni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka 123.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haruni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka 123.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Haruni alikuwa mtu wa umri wa miaka mia moja ishirini na mitatu hapo alipokufa katika mlima wa Hori.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aroni alikuwa na umri wa miaka 123 alipofariki juu ya Mlima Hori.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye alikuwa mwenye miaka 123, alipokufa mlimani kwa Hori.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Haruni alikuwa mtu wa umri wa miaka mia na ishirini na mitatu hapo alipokufa katika mlima wa Hori.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haruni alikuwa na umri wa miaka mia moja makumi mbili na mitatu alipokufa juu ya mulima Hori.