Numbers 33:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ambao walikuwa wanawazika wazaliwa wao wa kwanza wa kiume aliowaua Mwenyezi-Mungu; kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa ameiadhibu hata miungu yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
waliokuwa wakizika wazaliwa wao wa kwanza wote, ambao Mwenyezi Mungu alikuwa amewaua kati yao, kwa kuwa Mwenyezi Mungu alikuwa ameleta hukumu juu ya miungu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hapo Wamisri walipokuwa wanazika wazaliwa wa kwanza wao wote, Bwana aliokuwa amewapiga kati yao; Bwana akafanya hukumu juu ya miungu yao nayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ambao walikuwa wanawazika wazaliwa wao wa kwanza wa kiume aliowaua Mwenyezi-Mungu; kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa ameiadhibu hata miungu yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambao walikuwa wakizika wazaliwa wao wa kwanza wote, ambao BWANA alikuwa amewaua katikati yao, kwa kuwa BWANA alikuwa ameleta hukumu juu ya miungu yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
waliokuwa wakizika wazaliwa wao wa kwanza wote, ambao bwana alikuwa amewaua katikati yao, kwa kuwa bwana alikuwa ameleta hukumu juu ya miungu yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hapo Wamisri walipokuwa wanazika wazaliwa wa kwanza wao wote, BWANA aliokuwa amewapiga kati yao; BWANA akafanya hukumu juu ya miungu yao nayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ambao walikuwa wanawazika wazaliwa wao wa kwanza wa kiume aliowaua Mwenyezi-Mungu; kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa ameiadhibu hata miungu yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Wamisri walikuwa wakiwazika wana wao wote wa kwanza, Bwana aliowapiga kwao, kwani Bwana aliihukumu miungu yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hapo Wamisri walipokuwa wanazika wazaliwa wa kwanza wao wote, BWANA aliokuwa amewapiga kati yao; BWANA akafanya hukumu juu ya miungu yao nayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ambao walikuwa wanazika wazaliwa wao wa kwanza wanaume Yawe aliowaua; maana Yawe alikuwa ameiazibu hata miungu yao.