Numbers 33:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Obothi, walipiga kambi yao Iye-abarimu, katika eneo la Moabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Obothi, wakapiga kambi huko Iye-Abarimu, mipakani mwa Moabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Obothi, wakapanga Iye-abarimu, katika mpaka wa Moabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Obothi, walipiga kambi yao Iye-abarimu, katika eneo la Moabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Obothi, wakapiga kambi huko Iye-Abarimu, mipakani mwa Moabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Obothi, wakapiga kambi huko Iye-Abarimu, mipakani mwa Moabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Obothi, wakapiga kambi Iye-abarimu, katika mpaka wa Moabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Obothi, walipiga kambi yao Iye-abarimu, katika eneo la Moabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka Oboti wakapiga makambi Iye-Abarimu mpakani kwa Moabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Obothi, wakapanga Iye-abarimu, katika mpaka wa Moabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Oboti, wakapiga kambi yao Iye-Abarimu, katika eneo la Moabu.