Numbers 33:45 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Iye-abarimu, walipiga kambi yao Dibon-gadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Iye-Abarimu, wakapiga kambi huko Dibon-Gadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Iye-abarimu, wakapanga Dibon-gadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Iye-abarimu, walipiga kambi yao Dibon-gadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Iye-Abarimu, wakapiga kambi huko Diboni-Gadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Iye-Abarimu, wakapiga kambi huko Dibon-Gadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Iye-abarimu, wakapiga kambi Dibon-gadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Iye-abarimu, walipiga kambi yao Dibon-gadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka huko Iyimu wakapiga makambi Diboni wa Gadi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Iye-abarimu, wakapanga Dibon-gadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Iye-Abarimu, wakapiga kambi yao Diboni-Gadi.