Numbers 33:46 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Dibon-gadi, walisafiri na kupiga kambi yao Almon-diblathaimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Dibon-Gadi na kupiga kambi huko Almon-Diblathaimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Dibon-gadi, wakapanga Almon-diblathaimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Dibon-gadi, walisafiri na kupiga kambi yao Almon-diblathaimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Diboni-Gadi na kupiga kambi huko Almon-Diblathaimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Dibon-Gadi na kupiga kambi huko Almon-Diblathaimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Dibon-gadi, wakapiga kambi Almon-diblathaimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Dibon-gadi, walisafiri na kupiga kambi yao Almon-diblathaimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka Diboni wa Gadi wakapiga makambi Almoni-Dibulataimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Dibon-gadi, wakapanga Almon-diblathaimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Diboni-Gadi, wakasafiri na kupiga kambi yao Almoni-Diblataimu.