Numbers 33:47 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Almon-diblathaimu, walisafiri na kupiga kambi yao katika milima ya Abarimu, karibu na Mlima Nebo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Almon-Diblathaimu na kupiga kambi katika milima ya Abarimu, karibu na Nebo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka Almon-diblathaimu, wakapanga katika milima ya Abarimu, kukabili Nebo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Almon-diblathaimu, walisafiri na kupiga kambi yao katika milima ya Abarimu, karibu na Mlima Nebo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Almon-Diblathaimu na kupiga kambi katika milima ya Abarimu, karibu na Nebo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Almon-Diblathaimu na kupiga kambi katika milima ya Abarimu, karibu na Nebo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka Almon-diblathaimu, wakapiga kambi katika milima ya Abarimu, kukabili Nebo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Almon-diblathaimu, walisafiri na kupiga kambi yao katika milima ya Abarimu, karibu na Mlima Nebo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka Almoni-Dibulataimu wakapiga makambi milimani kwa Abarimu kunakoelekea Nebo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka Almon-diblathaimu, wakapanga katika milima ya Abarimu, kukabili Nebo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Almoni-Diblataimu, wakasafiri na kupiga kambi yao katika milima ya Abarimu, karibu na mulima Nebo.