Numbers 33:48 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka milima ya Abarimu, walisafiri na kupiga kambi yao katika tambarare za Moabu ngambo ya mto Yordani karibu na Yeriko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka kwenye milima ya Abarimu na kupiga kambi kwenye tambarare ya Moabu, kando ya Yordani, ng’ambo ya Yeriko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka hiyo milima ya Abarimu, wakapanga katika nchi tambarare za Moabu, karibu na mto wa Yordani, hapo Yeriko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka milima ya Abarimu, walisafiri na kupiga kambi yao katika tambarare za Moabu ng'ambo ya mto Yordani karibu na Yeriko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka kwenye milima ya Abarimu na kupiga kambi kwenye tambarare ya Moabu, kando ya Yordani ng'ambo ya Yeriko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka kwenye milima ya Abarimu na kupiga kambi kwenye tambarare ya Moabu, kando ya Yordani ng’ambo ya Yeriko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka hiyo milima ya Abarimu, wakapiga kambi katika nchi tambarare za Moabu, karibu na mto wa Yordani, hapo Yeriko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka milima ya Abarimu, walisafiri na kupiga kambi yao katika tambarare za Moabu ngambo ya mto Yordani karibu na Yeriko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka milimani kwa Abarimu wakapiga makambi kwenye mbuga za Moabu ng'ambo ya huku ya Yordani, Yeriko ukiwa ng'ambo ya pili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka hiyo milima ya Abarimu, wakapanga katika nchi tambarare za Moabu, karibu na mto wa Yordani, hapo Yeriko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka milima ya Abarimu, wakasafiri na kupiga kambi yao katika mabonde ya Moabu ngambo ya muto Yordani karibu na Yeriko.