Numbers 33:49 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipiga kambi hiyo karibu na mto Yordani kati ya Beth-yeshimothi na bonde la Abel-shitimu kwenye tambarare za Moabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko kwenye tambarare za Moabu walipiga kambi kandokando ya Mto Yordani, kuanzia Beth-Yeshimothi hadi Abel-Shitimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakapanga karibu na Yordani, tangu Beth-yeshimothi hata kufikilia Abel-shitimu katika nchi tambarare za Moabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipiga kambi hiyo karibu na mto Yordani kati ya Beth-yeshimothi na bonde la Abel-shitimu kwenye tambarare za Moabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko kwenye tambarare za Moabu walipiga kambi kandokando ya Mto Yordani, kuanzia Beth-Yeshimothi mpaka Abel-Shitimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko kwenye tambarare za Moabu walipiga kambi kandokando ya Mto Yordani, kuanzia Beth-Yeshimothi mpaka Abel-Shitimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakapiga kambi karibu na Yordani, tangu Beth-yeshimothi hata kufikia Abel-shitimu katika nchi tambarare za Moabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipiga kambi hiyo karibu na mto Yordani kati ya Beth-yeshimothi na bonde la Abel-shitimu kwenye tambarare za Moabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko Yordani ndiko, walikopiga makambi kutoka Beti-Yesimoti mpaka Abeli-Sitimu kwenye mbuga za Moabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakapanga karibu na Yordani, tangu Beth-yeshimothi hata kufikilia Abel-shitimu katika nchi tambarare za Moabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakapiga kambi hiyo karibu na muto Yordani kati ya Beti-Yesimoti na bonde la Abeli-Sitimu kwenye mabonde ya Moabu.