Numbers 33:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Waisraeli waliondoka Ramesesi, wakapiga kambi yao huko Sukothi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi, wakapanga katika Sukothi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Waisraeli waliondoka Ramesesi, wakapiga kambi yao huko Sukothi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli waliondoka Ramesesi na kupiga kambi huko Sukothi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi, wakapiga kambi katika Sukothi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Waisraeli waliondoka Ramesesi, wakapiga kambi yao huko Sukothi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isiraeli walipoondoka Ramusesi wakapiga makambi Sukoti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli wakasafiri kutoka Ramesesi, wakapanga katika Sukothi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Waisraeli wakaondoka Ramesesi, wakapiga kambi yao huko Sukoti.