Numbers 33:50 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika tambarare za Moabu, ngambo ya mto Yordani karibu na Yeriko, Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika tambarare za Moabu kando ya Yordani, ng’ambo ya Yeriko, Mwenyezi Mungu akamwambia Musa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Bwana akanena na Musa hapo katika nchi tambarare za Moabu, karibu na Yordani, hapo Yeriko, na kumwambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika tambarare za Moabu, ng'ambo ya mto Yordani karibu na Yeriko, Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika tambarare za Moabu kando ya Yordani kuvukia Yeriko, BWANA akamwambia Mose,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika tambarare za Moabu kando ya Yordani kuvukia Yeriko, bwana akamwambia Musa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha BWANA akanena na Musa hapo katika nchi tambarare za Moabu, karibu na Yordani, hapo Yeriko, na kumwambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika tambarare za Moabu, ngambo ya mto Yordani karibu na Yeriko, Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia Mose huko kwenye mbuga za Moabu ng'ambo ya huku ya Yordani, Yeriko ukiwa ng'ambo ya pili, kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha BWANA akanena na Musa hapo katika nchi tambarare za Moabu, karibu na Yordani, hapo Yeriko, na kumwambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mabonde ya Moabu, ngambo ya muto Yordani karibu na Yeriko, Yawe akamwambia Musa: