Numbers 33:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliondoka Pi-hahirothi, wakapita bahari ya Shamu mpaka jangwa la Ethamu; walisafiri jangwani mwendo wa siku tatu, wakapiga kambi yao Mara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaondoka Pi-Hahirothi wakapita katikati ya bahari hadi jangwani, na baada ya kusafiri kwa siku tatu katika Jangwa la Ethamu, walipiga kambi huko Mara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasafiri kutoka hapo mbele ya Hahirothi, wakapita katikati ya bahari na kuingia jangwani; kisha wakaenda safari ya siku tatu katika nyika ya Ethamu, wakapanga Mara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliondoka Pi-hahirothi, wakapita bahari ya Shamu mpaka jangwa la Ethamu; walisafiri jangwani mwendo wa siku tatu, wakapiga kambi yao Mara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaondoka Pi-Hahirothi wakapita katikati ya bahari mpaka jangwani, na baada ya kusafiri kwa siku tatu katika Jangwa la Ethamu, walipiga kambi huko Mara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaondoka Pi-Hahirothi wakapita katikati ya bahari mpaka jangwani, na baada ya kusafiri kwa siku tatu katika Jangwa la Ethamu, walipiga kambi huko Mara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasafiri kutoka hapo mbele ya Hahirothi, wakapita katikati ya bahari na kuingia jangwani; kisha wakaenda safari ya siku tatu katika nyika ya Ethamu, wakapiga kambi Mara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliondoka Pi-hahirothi, wakapita bahari ya Shamu mpaka jangwa la Ethamu; walisafiri jangwani mwendo wa siku tatu, wakapiga kambi yao Mara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka mbele yake Hahiroti wakapita katikati ya bahari, wakaingia nyikani; walipokwenda safari ya siku tatu katika nyika ya Etamu wakapiga makambi Mara.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasafiri kutoka hapo mbele ya Hahirothi, wakapita katikati ya bahari na kuingia jangwani; kisha wakaenda safari ya siku tatu katika nyika ya Ethamu, wakapanga Mara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaondoka Pi-Hahiroti, wakapita bahari Nyekundu mpaka jangwa la Etamu; wakasafiri katika jangwa mwendo wa siku tatu, wakapiga kambi yao Mara.