Numbers 34:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mpaka wenu wa upande wa mashariki mtauweka kutoka Hazar-enani hadi Shefamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa mpaka wenu wa mashariki, wekeni alama kuanzia Hasar-Enani hadi Shefamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha mtaandika mpaka wenu wa upande wa mashariki kutoka Hasarenani hata Shefamu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mpaka wenu wa upande wa mashariki mtauweka kutoka Hazar-enani hadi Shefamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kwa mpaka wenu wa mashariki, wekeni alama kuanzia Hazar-Enani hadi Shefamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa mpaka wenu wa mashariki, wekeni alama kuanzia Hasar-Enani hadi Shefamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha mtaweka mpaka wenu wa upande wa mashariki kutoka Hasarenani hadi Shefamu mpaka Ribla;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mpaka wenu wa upande wa mashariki mtauweka kutoka Hazar-enani hadi Shefamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka wenu wa upande wa maawioni kwa jua utoke kwenye ua wa Enani, mwufikishe Sefamu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha mtaandika mpaka wenu wa upande wa mashariki kutoka Hasarenani hata Shefamu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupaka wenu wa upande wa mashariki mutauweka kutoka Hazari-Enani mpaka Sefamu.