Numbers 34:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makabila hayo mawili na nusu yamepata urithi wao ngambo ya mto Yordani upande wa mashariki, mkabala wa Yeriko, mawioni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya makabila mawili na nusu wamekwishapokea urithi wao upande wa mashariki wa Yordani ng’ambo ya Yeriko, kuelekea mawio ya jua.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hizo kabila mbili na nusu ya kabila wamekwisha pata urithi wao huko ng'ambo ya pili ya Yordani, hapo Yeriko, upande wa mashariki, kuelekea maawio ya jua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makabila hayo mawili na nusu yamepata urithi wao ng'ambo ya mto Yordani upande wa mashariki, mkabala wa Yeriko, mawioni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya makabila mawili na nusu wamekwishapokea urithi wao upande wa mashariki wa Yordani ng'ambo ya Yeriko, kuelekea maawio ya jua.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya makabila mawili na nusu wamekwishapokea urithi wao upande wa mashariki wa Yordani ng’ambo ya Yeriko, kuelekea mawio ya jua.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hayo makabila mawili na nusu ya kabila wamekwisha pata urithi wao huko ng'ambo ya pili ya Yordani, hapo Yeriko, upande wa mashariki, kuelekea mawio ya jua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makabila hayo mawili na nusu yamepata urithi wao ngambo ya mto Yordani upande wa mashariki, mkabala wa Yeriko, mawioni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo mashina mawili na nusu ya shina la Manase wamekwisha kujipatia mafungu yao ng'ambo ya Yordani ya mashariki iliyo ya maawioni kwa jua, Yeriko ukiwa ng'ambo ya pili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hizo kabila mbili na nusu ya kabila wamekwisha pata urithi wao huko ng’ambo ya pili ya Yordani, hapo Yeriko, upande wa mashariki, kuelekea maawio ya jua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makabila hayo mawili na nusu yamepata urizi wao ngambo ya muto Yordani upande wa mashariki, kuelekea Yeriko, jua linakotokea.