Numbers 34:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Manase mwanawe Yosefu, Hanieli mwana wa Efodi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hanieli mwana wa Efodi, kiongozi kutoka kabila la Manase mwana wa Yusufu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika wana wa Yusufu; katika kabila ya wana wa Manase, mkuu, Hanieli mwana wa Efodi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Manase mwanawe Yosefu, Hanieli mwana wa Efodi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hanieli mwana wa Efodi, kiongozi kutoka kabila la Manase mwana wa Yosefu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hanieli mwana wa Efodi, kiongozi kutoka kabila la Manase mwana wa Yusufu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika wana wa Yusufu; katika kabila la wana wa Manase, mkuu, Hanieli mwana wa Efodi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Manase mwanawe Yosefu, Hanieli mwana wa Efodi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wa wana wa Yosefu: wa shina la wana wa Manase mkuu Hanieli, mwana wa Efodi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika wana wa Yusufu; katika kabila ya wana wa Manase, mkuu, Hanieli mwana wa Efodi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kabila la Manase mwana wa Yosefu, Hanieli mwana wa Efodi.