Numbers 34:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabila la Efraimu, mwanawe Yosefu, Kemueli mwana wa Shiftani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kemueli mwana wa Shiftani, kiongozi kutoka kabila la Efraimu mwana wa Yusufu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na katika kabila ya wana wa Efraimu, mkuu, Kemueli mwana wa Shiftani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabila la Efraimu, mwanawe Yosefu, Kemueli mwana wa Shiftani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kemueli mwana wa Shiftani, kiongozi kutoka kabila la Efraimu mwana wa Yosefu;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kemueli mwana wa Shiftani, kiongozi kutoka kabila la Efraimu mwana wa Yusufu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na katika kabila la wana wa Efraimu, mkuu, Kemueli mwana wa Shiftani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabila la Efraimu, mwanawe Yosefu, Kemueli mwana wa Shiftani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wa shina la wana wa Efuraimu mkuu Kemueli, mwana wa Sifutani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na katika kabila ya wana wa Efraimu, mkuu, Kemueli mwana wa Shiftani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kabila la Efuraimu mwana wa Yosefu, Kemueli mwana wa Sifutani.