Numbers 34:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawa ndio watu ambao Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wawagawie Waisraeli nchi ya Kanaani kuwa mali yao.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa ndio watu ambao Mwenyezi Mungu aliamuru wagawanye urithi kwa Waisraeli katika nchi ya Kanaani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao ndio Bwana aliowaagiza wawagawanyie urithi wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawa ndio watu ambao Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wawagawie Waisraeli nchi ya Kanaani kuwa mali yao.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio watu ambao BWANA aliamuru kuwa wagawanye urithi kwa Waisraeli katika nchi ya Kanaani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio watu ambao bwana aliamuru wagawanye urithi kwa Waisraeli katika nchi ya Kanaani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao ndio BWANA aliowaagiza wawagawanyie urithi wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawa ndio watu ambao Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wawagawie Waisraeli nchi ya Kanaani kuwa mali yao.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa ndio, Bwana aliowaagiza, kuwagawanyia wana wa Isiraeli mafungu yao katika nchi ya Kanaani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao ndio BWANA aliowaagiza wawagawanyie urithi wana wa Israeli katika nchi ya Kanaani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio watu ambao Yawe aliwaamuru wawagawanyie watu Waisraeli inchi ya Kanana kuwa mali yao.