Numbers 34:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha utapinda kusini kuelekea pito la Akrabimu na kupitia Sini hadi Kadesh-barnea, upande wa kusini. Kutoka hapo, mpaka utapinda kuelekea kaskazini-magharibi hadi Hasar-adari na kupita hadi Azmoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
katiza kusini mwa Pito la Akrabimu, kuendelea hadi Sini na kwenda kusini mwa Kadesh-Barnea. Kisha mpaka huo utaenda hadi Hasar-Adari hadi Azmoni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha mpaka wenu utageuka kwenda upande wa kusini wa kukwelea kwake Akrabimu, kisha kupita kwendelea Sini; na kutokea kwake kutakuwa kuelekea upande wa kusini wa Kadesh-barnea; kisha utaendelea mpaka Hasar-adari, na kufikilia Azmoni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha utapinda kusini kuelekea pito la Akrabimu na kupitia Sini hadi Kadesh-barnea, upande wa kusini. Kutoka hapo, mpaka utapinda kuelekea kaskazini-magharibi hadi Hasar-adari na kupita hadi Azmoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katiza kusini mwa Pito la Akrabimu, endelea mpaka Sini na kwenda kusini ya Kadesh-Barnea. Kisha mpaka huo utaenda hadi Hasar-Adari hadi Azmoni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katiza kusini mwa Pito la Akrabimu, endelea mpaka Sini na kwenda kusini ya Kadesh-Barnea. Kisha mpaka huo utaenda hadi Hasar-Adari hadi Azmoni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha mpaka wenu utageuka kwenda upande wa kusini wa kuelekea kwake Akrabimu, kisha kupita kwendelea Sini; na kutokea kwake kutakuwa kuelekea upande wa kusini wa Kadesh-barnea; kisha utaendelea mpaka Hasar-adari, na kufikia Azmoni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha utapinda kusini kuelekea pito la Akrabimu na kupitia Sini hadi Kadesh-barnea, upande wa kusini. Kutoka hapo, mpaka utapinda kuelekea kaskazini-magharibi hadi Hasar-adari na kupita hadi Azmoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha huo mpaka upazungukie hapo pa kukwelea Akarabimu upande wake wa kusini, kisha upitie sini, utokee upande wa kusini wa Kadesi-Barnea, kisha utokee kwenye ua wa Adari na kufikia Asimoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha mpaka wenu utageuka kwenda upande wa kusini wa kukwelea kwake Akrabimu, kisha kupita kwendelea Sini; na kutokea kwake kutakuwa kuelekea upande wa kusini wa Kadesh-barnea; kisha utaendelea mpaka Hasar-adari, na kufikilia Azmoni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha utapinda kusini kuelekea mupando wa Akarabimu na kupitia Sini mpaka Kadesi-Barnea, upande wa kusini. Kutoka pale, mupaka utapinda kuelekea kaskazini-magaribi mpaka Hasari-Adari na kupita mpaka Azimoni.