Numbers 34:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka Azmoni utapinda kuelekea kijito cha Misri kwenye mpaka wa Misri na kuishia bahari ya Mediteranea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mahali mpaka utapinda, na kuunganika na Kijito cha Misri, na kumalizikia kwenye Bahari ya Kati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha mpaka utageuka kutoka Azmoni kwendelea kijito cha Misri, na kutokea kwake kutakuwa hapo baharini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka Azmoni utapinda kuelekea kijito cha Misri kwenye mpaka wa Misri na kuishia bahari ya Mediteranea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mahali ambapo utapinda, na kuunganika na mpaka wa Misri na kumalizikia kwenye Bahari ya Kati.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mahali ambapo utapinda, na kuunganika na Kijito cha Misri na kumalizikia kwenye Bahari ya Kati.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha mpaka utageuka kutoka Azmoni kwendelea kijito cha Misri, na kutokea kwake kutakuwa hapo baharini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka Azmoni utapinda kuelekea kijito cha Misri kwenye mpaka wa Misri na kuishia bahari ya Mediteranea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kutoka Asimoni mpaka ukigeukie kijito cha Misri, upate kutokea baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha mpaka utageuka kutoka Azmoni kwendelea kijito cha Misri, na kutokea kwake kutakuwa hapo baharini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Azimoni utapinda kuelekea kijito cha Misri kwenye mupaka wa Misri na kuishia bahari ya Mediteranea.