Numbers 34:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kupita hadi Zifroni na kuishia Hazar-enani; huo utakuwa mpaka wenu wa kaskazini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuendelea hadi Zifroni, na kuishia Hasar-Enani. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa kaskazini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena mpaka utatokea hata Zifroni, na kutokea kwake kutakuwa hapo Hasarenani; huo ndio mpaka wenu wa upande wa kaskazini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kupita hadi Zifroni na kuishia Hazar-enani; huo utakuwa mpaka wenu wa kaskazini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuendelea hadi Zifroni, na kuishia Hazar-Enani. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa kaskazini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuendelea hadi Zifroni, na kuishia Hasar-Enani. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa kaskazini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena mpaka utatokea hadi Zifroni, na kutokea kwake kutakuwa hapo Hasarenani; huo ndio mpaka wenu wa upande wa kaskazini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kupita hadi Zifroni na kuishia Hazar-enani; huo utakuwa mpaka wenu wa kaskazini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukitoka hapo, mpaka uendelee kufika Zifuroni, kisha utokee kwenye ua wa Enani. Huu utakuwa mpaka wenu wa kaskazini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena mpaka utatokea hata Zifroni, na kutokea kwake kutakuwa hapo Hasarenani; huo ndio mpaka wenu wa upande wa kaskazini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kupitia Zifuroni na kuishia Hazari-Enani. Huo utakuwa mupaka wenu wa kaskazini.