Numbers 35:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mtachagua miji itakayokuwa miji ya makimbilio ambamo kama mtu akimuua mwenzake bila kukusudia ataweza kukimbilia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
chagueni baadhi ya miji iwe miji yenu ya makimbilio, ambayo mtu ambaye ameua mwenzake bila kukusudia aweza kukimbilia humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mtajiwekea miji iwe miji ya makimbilio kwa ajili yenu; ili kwamba mwenye kumwua mtu, pasipo kukusudia kumwua, apate kukimbilia huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mtachagua miji itakayokuwa miji ya makimbilio ambamo kama mtu akimuua mwenzake bila kukusudia ataweza kukimbilia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
chagueni baadhi ya miji iwe miji yenu ya makimbilio, ambayo mtu ambaye amemua mwenzake bila kukusudia aweza kukimbilia humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
chagueni baadhi ya miji iwe miji yenu ya makimbilio, ambayo mtu ambaye ameua mwenzake bila kukusudia aweza kukimbilia humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mtajiwekea miji itakayokuwa ya makimbilio kwa ajili yenu; ili kwamba mwenye kumwua mtu, pasipo kukusudia kumwua, apate kukimbilia huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mtachagua miji itakayokuwa miji ya makimbilio ambamo kama mtu akimuua mwenzake bila kukusudia ataweza kukimbilia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
jichagulieni miji itakayowafalia ninyi kuwa miji ya kuikimbilia, mwuaji apate kuikimbilia, kama hakumpiga mwenziwe na kumwua kwa kusudi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mtajiwekea miji iwe miji ya makimbilio kwa ajili yenu; ili kwamba mwenye kumwua mtu, pasipo kukusudia kumwua, apate kukimbilia huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mutachagua miji itakayokuwa miji ya makimbilio ambamo kama mutu akimwua mwenzake bila kukusudia ataweza kukimbilia.