Numbers 35:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miji hiyo itakuwa mahali pa kukimbilia usalama ili huyo mwuaji asiuawe na mwenye kulipiza kisasi kabla ya kuhukumiwa na jumuiya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Itakuwa mahali pa kukimbilia kutoka mlipiza kisasi, ili mtu aliyeshtakiwa kwa mauaji asife kabla ya kujitetea mbele ya mkutano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hiyo miji itakuwa kwenu kuwa makimbilio, kumkimbia mwenye kutwaa kisasi, ili asiuawe mwenye kumwua mtu, hata atakaposimama mbele ya mkutano ahukumiwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miji hiyo itakuwa mahali pa kukimbilia usalama ili huyo mwuaji asiuawe na mwenye kulipiza kisasi kabla ya kuhukumiwa na jumuiya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Itakuwa mahali pa kukimbilia kutoka mlipiza kisasi, ili kwamba mtu aliyeshitakiwa kwa mauaji asife kabla ya kujitetea mbele ya mkutano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Itakuwa mahali pa kukimbilia kutoka mlipiza kisasi, ili kwamba mtu aliyeshtakiwa kwa mauaji asife kabla ya kujitetea mbele ya mkutano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hiyo miji itakuwa kwenu kuwa makimbilio, kumkimbia mwenye kulipiza kisasi, ili asiuawe mwenye kumwua mtu, hata atakaposimama mbele ya mkutano ahukumiwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miji hiyo itakuwa mahali pa kukimbilia usalama ili huyo mwuaji asiuawe na mwenye kulipiza kisasi kabla ya kuhukumiwa na jumuiya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miji hiyo iwe kwenu ya kuikimbilia na kumkimbia mlipizi, mwuaji asife, mpaka asimamishwe mbele ya mkutano, ahukumiwe nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hiyo miji itakuwa kwenu kuwa makimbilio, kumkimbia mwenye kutwaa kisasi, ili asiuawe mwenye kumwua mtu, hata atakaposimama mbele ya mkutano ahukumiwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miji hiyo itakuwa pahali pa kukimbilia usalama kusudi huyo mwuaji asiuawe na mwenye kulipiza kisasi mbele ya kuhukumiwa na baraza la Waisraeli.