Numbers 35:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kati ya miji hiyo sita mtakayoitenga, mitatu iwe mashariki ya Yordani, na mitatu iwe katika nchi ya Kanaani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtatoa miji mitatu ng’ambo hii ya Yordani na miji mingine mitatu upande wa Kanaani kama miji ya makimbilio.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtawapa miji mitatu ng'ambo ya pili ya Yordani, na miji mitatu mtawapa katika nchi ya Kanaani; miji hiyo itakuwa ni miji ya makimbilio.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kati ya miji hiyo sita mtakayoitenga, mitatu iwe mashariki ya Yordani, na mitatu iwe katika nchi ya Kanaani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtatoa miji mitatu ng'ambo hii ya Yordani na miji mingine mitatu upande wa Kanaani kama miji ya makimbilio.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtatoa miji mitatu ng’ambo hii ya Yordani na miji mingine mitatu upande wa Kanaani kama miji ya makimbilio.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtawapa miji mitatu ng'ambo ya pili ya Yordani, na miji mitatu mtawapa katika nchi ya Kanaani; miji hiyo itakuwa ni miji ya makimbilio.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kati ya miji hiyo sita mtakayoitenga, mitatu iwe mashariki ya Yordani, na mitatu iwe katika nchi ya Kanaani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miji mitatu na mtoe ng'ambo ya huku ya Yordani, tena na mtoe miji mitatu katika nchi ya Kanaani, iwe miji ya kuikimbilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtawapa miji mitatu ng’ambo ya pili ya Yordani, na miji mitatu mtawapa katika nchi ya Kanaani; miji hiyo itakuwa ni miji ya makimbilio.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kati ya miji hiyo sita mutakayotenga, mitatu ikuwe upande wa mashariki wa Yordani, na mitatu ikuwe katika inchi ya Kanana.