Numbers 35:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu yeyote akimpiga mwenzake kwa jiwe, akifa, mtu huyo ni mwuaji, na lazima auawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Au kama mtu analo jiwe mkononi mwake, naye akampiga mwenzake nalo akafa, yeye ni muuaji; muuaji huyo sharti atauawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kama alimpiga kwa jiwe lililokuwa mkononi mwake, ambalo kwa hilo humkini mtu kufa, naye akafa, yeye ni mwuaji; huyo mwuaji lazima atauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu yeyote akimpiga mwenzake kwa jiwe, akifa, mtu huyo ni mwuaji, na lazima auawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Au kama mtu analo jiwe mkononi mwake ambalo laweza kuua, naye akampiga mwenzake akafa, yeye ni mwuaji; mwuaji huyo sharti atauawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Au kama mtu analo jiwe mkononi mwake ambalo laweza kuua, naye akampiga mwenzake akafa, yeye ni muuaji; muuaji huyo sharti atauawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kama alimpiga kwa jiwe lililokuwa mkononi mwake, ambalo kwa hilo yamkini mtu kufa, naye akafa, yeye ni mwuaji; huyo mwuaji lazima atauawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu yeyote akimpiga mwenzake kwa jiwe, akifa, mtu huyo ni mwuaji, na lazima auawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama amempiga kwa jiwe, alilolishika, linaloweza kuua mtu, yule akafa, basi, ni mwuaji, naye kwa kuwa ni mwuaji, hana budi kuuawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kama alimpiga kwa jiwe lililokuwa mkononi mwake, ambalo kwa hilo humkini mtu kufa, naye akafa, yeye ni mwuaji; huyo mwuaji lazima atauawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote akimupiga mwenzake kwa jiwe, akikufa, mutu huyo ni mwuaji, anapaswa kuuawa.