Numbers 35:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama akimpiga mwenzake kwa silaha ya mti ambayo yaweza kusababisha kifo, akafa, mtu huyo ni mwuaji, na ni lazima auawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Au kama mtu ana chombo cha mti mkononi mwake ambacho chaweza kuua, naye akampiga mwenzake akafa, yeye ni muuaji; muuaji huyo sharti atauawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Au kama alimpiga kwa chombo cha mti kilichokuwa mkononi mwake ambacho kwa hicho humkini mtu kufa, naye akafa, ni mwuaji huyo, mwuaji lazima atauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama akimpiga mwenzake kwa silaha ya mti ambayo yaweza kusababisha kifo, akafa, mtu huyo ni mwuaji, na ni lazima auawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Au kama mtu ana chombo cha mti mkononi mwake ambacho chaweza kuua, naye akampiga mwenzake akafa, yeye ni mwuaji; mwuaji huyo sharti atauawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Au kama mtu ana chombo cha mti mkononi mwake ambacho chaweza kuua, naye akampiga mwenzake akafa, yeye ni muuaji; muuaji huyo sharti atauawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Au kama alimpiga kwa chombo cha mti kilichokuwa mkononi mwake ambacho kwa hicho yamkini mtu kufa, naye akafa, ni mwuaji huyo, mwuaji lazima atauawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama akimpiga mwenzake kwa silaha ya mti ambayo yaweza kusababisha kifo, akafa, mtu huyo ni mwuaji, na ni lazima auawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama amempiga kwa chombo cha mti, alichokishika mkononi, kinachoweza kuua mtu, akafa, basi, ni mwuaji, naye kwa kuwa ni mwuaji, hana budi kuuawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Au kama alimpiga kwa chombo cha mti kilichokuwa mkononi mwake ambacho kwa hicho humkini mtu kufa, naye akafa, ni mwuaji huyo, mwuaji lazima atauawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama akimupiga mwenzake kwa silaha ya muti ambayo inaweza kusababisha kifo, akikufa, mutu huyo ni mwuaji, na anapaswa kuuawa.