Numbers 35:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jamaa wa karibu wa mtu aliyeuawa atalipiza kisasi. Huyu atakapokutana na huyo mwuaji, atatekeleza hukumu ya kifo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlipiza kisasi cha damu atamuua muuaji; wakati akikutana naye, atamuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye kutwaa kisasi cha damu ndiye atakayemwua mwuaji; hapo atakapokutana naye, atamwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jamaa wa karibu wa mtu aliyeuawa atalipiza kisasi. Huyu atakapokutana na huyo mwuaji, atatekeleza hukumu ya kifo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlipiza kisasi cha damu atamwua mwuaji; wakati akikutana naye, atamwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlipiza kisasi cha damu atamuua muuaji; wakati akikutana naye, atamuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye kutwaa kisasi cha damu ndiye atakayemwua mwuaji; hapo atakapokutana naye, atamwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jamaa wa karibu wa mtu aliyeuawa atalipiza kisasi. Huyu atakapokutana na huyo mwuaji, atatekeleza hukumu ya kifo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye kuilipiza hiyo damu na amwue mwuaji; hapo, atakapomkuta yeye, na amwue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye kutwaa kisasi cha damu ndiye atakayemwua mwuaji; hapo atakapokutana naye, atamwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndugu wa karibu wa mutu aliyeuawa atalipiza kisasi. Huyu atakapokutana na huyo mwuaji, atatimiza hukumu ya kifo.