Numbers 35:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waamuru Waisraeli kwamba kutokana na urithi watakaomiliki, wawape Walawi miji ya kukaa na sehemu za malisho kandokando ya miji hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waagize Waisraeli kuwapa Walawi miji ya kuishi kutoka urithi ambao Waisraeli wataumiliki. Wape maeneo ya malisho kuzunguka hiyo miji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwaagize wana wa Israeli wawape Walawi miji wapate mahali pa kukaa, katika milki yao; pamoja na malisho yaliyoizunguka hiyo miji kotekote mtawapa Walawi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waamuru Waisraeli kwamba kutokana na urithi watakaomiliki, wawape Walawi miji ya kukaa na sehemu za malisho kandokando ya miji hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waagize Waisraeli kuwapa Walawi miji ya kuishi kutoka urithi ambao Waisraeli wataumiliki. Wape maeneo ya malisho kuzunguka hiyo miji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waagize Waisraeli kuwapa Walawi miji ya kuishi kutoka urithi ambao Waisraeli wataumiliki. Wape maeneo ya malisho kuzunguka hiyo miji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwaagize wana wa Israeli wawape Walawi miji wapate mahali pa kukaa, katika milki yao; pamoja na malisho yaliyoizunguka hiyo miji kotekote mtawapa Walawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waamuru Waisraeli kwamba kutokana na urithi watakaomiliki, wawape Walawi miji ya kukaa na sehemu za malisho kandokando ya miji hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waagize wana wa Isiraeli, wawape Walawi katika mafungu yao, watakayoyachukua, miji ya kukaa, nayo malisho yanayoizunguka hiyo miji mwape Walawi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwaagize wana wa Israeli wawape Walawi miji wapate mahali pa kukaa, katika milki yao; pamoja na malisho yaliyoizunguka hiyo miji kotekote mtawapa Walawi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaamuru Waisraeli kwamba kutokana na urizi watakaopewa, wawape Walawi miji ya kukaa na sehemu za malisho kandokando ya miji hiyo.