Numbers 35:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
au kwa kumpiga ngumi akafa, basi mtu huyo aliyempiga mwenzake ni mwuaji na ni lazima auawe. Jamaa wa karibu wa mtu aliyeuawa atalipiza kisasi atakapokutana naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au ikiwa katika uadui akampiga ngumi naye akafa, mtu yule sharti atauawa; yeye ni muuaji. Mlipiza kisasi cha damu atamuua muuaji atakapokutana naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
au akampiga kwa mkono wake kwa kuwa ni adui, naye akafa; yeye aliyempiga lazima atauawa; yeye ni mwuaji; mwenye kutwaa kisasi cha damu atamwua mwuaji, hapo atakapokutana naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
au kwa kumpiga ngumi akafa, basi mtu huyo aliyempiga mwenzake ni mwuaji na ni lazima auawe. Jamaa wa karibu wa mtu aliyeuawa atalipiza kisasi atakapokutana naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
au ikiwa katika uadui akampiga ngumi naye akafa, mtu yule sharti atauawa; yeye ni mwuaji. Mlipiza kisasi cha damu atamwua mwuaji atakapokutana naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au ikiwa katika uadui akampiga ngumi naye akafa, mtu yule sharti atauawa; yeye ni muuaji. Mlipiza kisasi cha damu atamuua muuaji atakapokutana naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
au akampiga kwa mkono wake kwa kuwa ni adui, naye akafa; yeye aliyempiga lazima atauawa; yeye ni mwuaji; mwenye kutwaa kisasi cha damu atamwua mwuaji, hapo atakapokutana naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
au kwa kumpiga ngumi akafa, basi mtu huyo aliyempiga mwenzake ni mwuaji na ni lazima auawe. Jamaa wa karibu wa mtu aliyeuawa atalipiza kisasi atakapokutana naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
au akimpiga kwa mkono wake kwa uadui, yule akafa, basi, yule aliyempiga hana budi kuuawa, kwa kuwa ni mwuaji; naye mwenye kuilipiza hiyo damu na amwue huyo mwuaji hapo, atakapomkuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
au akampiga kwa mkono wake kwa kuwa ni adui, naye akafa; yeye aliyempiga lazima atauawa; yeye ni mwuaji; mwenye kutwaa kisasi cha damu atamwua mwuaji, hapo atakapokutana naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
au kwa kumupiga ngumi akikufa, basi mutu huyo aliyemupiga mwenzake ni mwuaji na anapaswa kuuawa. Ndugu wa karibu wa mutu aliyeuawa atalipiza kisasi atakapokutana naye.