Numbers 35:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
au mtu akirusha jiwe linaloweza kusababisha kifo, akamuua mtu bila kukusudia, ingawa hakuwa adui yake wala hakutaka kumdhuru,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au, pasipo kumwona, akimwangushia jiwe ambalo laweza kumuua naye akafa, basi kwa kuwa hakuwa adui yake naye hakukusudia kumuumiza,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
au kwa jiwe liwalo lote, ambalo kwa kupigwa kwalo humkini mtu kufa, asipomwona, akamtupia hata akafa, naye hakuwa adui yake, wala hakumtakia madhara;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
au mtu akirusha jiwe linaloweza kusababisha kifo, akamuua mtu bila kukusudia, ingawa hakuwa adui yake wala hakutaka kumdhuru,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
au, pasipo kumwona, akimwangushia jiwe ambalo laweza kumwua naye akafa, basi kwa kuwa hakuwa adui yake naye hakukusudia kumumiza,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au, pasipo kumwona, akimwangushia jiwe ambalo laweza kumuua naye akafa, basi kwa kuwa hakuwa adui yake naye hakukusudia kumuumiza,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
au kwa jiwe liwalo lote, ambalo kwa kupigwa kwalo yamkini mtu kufa, bila kumwona akamtupia hata akafa, naye hakuwa adui yake, wala hakumtakia madhara;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
au mtu akirusha jiwe linaloweza kusababisha kifo, akamuua mtu bila kukusudia, ingawa hakuwa adui yake wala hakutaka kumdhuru,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
au kama ameacha pasipo kumwona, jiwe lo lote linaloweza kumwua mtu limwangukie, naye yule akafa asipokuwa wala adui wake wala mwenye kumtakia baya,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
au kwa jiwe liwalo lote, ambalo kwa kupigwa kwalo humkini mtu kufa, asipomwona, akamtupia hata akafa, naye hakuwa adui yake, wala hakumtakia madhara;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
au mutu akirusha jiwe linaloweza kusababisha kifo, na kuua mutu bila kukusudia, ingawa hakukukuwa madeni kati yao na huyo aliyeua hakukusudia kumuzuru,