Numbers 35:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, jumuiya itaamua kati ya huyo mwuaji na jamaa ya mtu aliyeuawa anayetaka kulipiza kisasi, kulingana na sheria hizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kusanyiko lazima waamue kati yake na mlipiza kisasi wa damu kufuatana na sheria hizi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo mkutano utaamua kati ya huyo aliyempiga mtu na huyo atakayetwaa kisasi cha damu, kama hukumu hizi zilivyo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, jumuiya itaamua kati ya huyo mwuaji na jamaa ya mtu aliyeuawa anayetaka kulipiza kisasi, kulingana na sheria hizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kusanyiko lazima liamue kati yake na mlipiza kisasi wa damu kufuatana na sheria hizi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kusanyiko lazima liamue kati yake na mlipiza kisasi wa damu kufuatana na sheria hizi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo mkutano utaamua kati ya huyo aliyempiga mtu na huyo atakayelipiza kisasi cha damu, kama hukumu hizi zilivyo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, jumuiya itaamua kati ya huyo mwuaji na jamaa ya mtu aliyeuawa anayetaka kulipiza kisasi, kulingana na sheria hizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, wao wa mkutano watamwamulia yule aliyeua naye mwenye kuilipiza hiyo damu, wakiyafuata hayo maamuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo mkutano utaamua kati ya huyo aliyempiga mtu na huyo atakayetwaa kisasi cha damu, kama hukumu hizi zilivyo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, baraza lile litaamua kati ya huyo mwuaji na jamaa ya mutu aliyeuawa anayetaka kulipiza kisasi, kulingana na maagizo haya.