Numbers 35:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini huyo aliyeua akitoka nje ya mji aliokimbilia wakati wowote ule,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Lakini kama mshtakiwa atatoka nje ya mipaka ya mji wa makimbilio ambao amekimbilia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama mwenye kumwua mtu akienda wakati wo wote kupita mpaka wa huo mji wa makimbilio, alioukimbilia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini huyo aliyeua akitoka nje ya mji aliokimbilia wakati wowote ule,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Lakini kama mshtakiwa atatoka nje ya mipaka ya mji wa makimbilio ambao amekimbilia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Lakini kama mshtakiwa atatoka nje ya mipaka ya mji wa makimbilio ambao amekimbilia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama mwenye kumwua mtu akienda wakati wowote kupita mpaka wa huo mji wa makimbilio, alioukimbilia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini huyo aliyeua akitoka nje ya mji aliokimbilia wakati wowote ule,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini kama yule mwuaji atatoka mipakani mwa mji wa kuukimbilia, alimokimbilia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama mwenye kumwua mtu akienda wakati wo wote kupita mpaka wa huo mji wa makimbilio, alioukimbilia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini huyo aliyeua akitoka inje ya muji aliokimbilia wakati wowote,