Numbers 35:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
halafu jamaa ya mtu aliyeuawa akampata nje ya mipaka ya mji huo wa makimbilio akamuua, huyo hatakuwa na hatia ya kuua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na mlipiza kisasi wa damu akamkuta nje ya mji, mlipiza kisasi wa damu anaweza kumuua mshtakiwa huyo bila kuwa na hatia ya kuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mwenye kutwaa kisasi cha damu akamwona, naye yu nje ya mpaka wa mji wake wa makimbilio, na mwenye kutwaa kisasi cha damu akamwua huyo mwuaji, hatakuwa na hatia ya damu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
halafu jamaa ya mtu aliyeuawa akampata nje ya mipaka ya mji huo wa makimbilio akamuua, huyo hatakuwa na hatia ya kuua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na mlipiza kisasi wa damu akamkuta nje ya mji, mlipiza kisasi wa damu anaweza kumwua mshtakiwa huyo bila kuwa na hatia ya kuua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na mlipiza kisasi wa damu akamkuta nje ya mji, mlipiza kisasi wa damu anaweza kumuua mshtakiwa huyo bila kuwa na hatia ya kuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mwenye kutwaa kisasi cha damu akamwona, naye yuko nje ya mpaka wa mji wake wa makimbilio, na mwenye kutwaa kisasi cha damu akamwua huyo mwuaji, hatakuwa na hatia ya damu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
halafu jamaa ya mtu aliyeuawa akampata nje ya mipaka ya mji huo wa makimbilio akamuua, huyo hatakuwa na hatia ya kuua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye mwenye kuilipiza hiyo damu akamwona nje ya mipaka ya huo mji, alimokimbilia, basi, mwenye kuilipiza hiyo damu atamwua huyo mwuaji pasipo kukora manza za damu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mwenye kutwaa kisasi cha damu akamwona, naye yu nje ya mpaka wa mji wake wa makimbilio, na mwenye kutwaa kisasi cha damu akamwua huyo mwuaji, hatakuwa na hatia ya damu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
halafu ndugu ya mutu aliyeuawa akimukuta inje ya mipaka ya muji huo wa makimbilio akimwua, huyo hatakuwa na kosa la kuua.