Numbers 35:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sheria hizi zitatumika katika vizazi vyenu vyote, mahali popote mtakapokaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Hizi ndizo kanuni za sheria zitakazohitajiwa kwenu na katika vizazi vyenu vijavyo, popote mtakapoishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mambo haya yatakuwa ni amri ya hukumu kwenu, katika vizazi vyenu vyote, katika makazi yenu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sheria hizi zitatumika katika vizazi vyenu vyote, mahali popote mtakapokaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Hizi ndizo kanuni za sheria zitakazohitajiwa kwenu na katika vizazi vyenu vijavyo, po pote mtakapoishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Hizi ndizo kanuni za sheria zitakazohitajiwa kwenu na katika vizazi vyenu vijavyo, popote mtakapoishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mambo haya yatakuwa ni amri na hukumu kwenu, katika vizazi vyenu vyote, katika makazi yenu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sheria hizi zitatumika katika vizazi vyenu vyote, mahali popote mtakapokaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya sharti yawe kwenu maongozi ya maamuzi ya vizazi vyenu po pote, mtakapokaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mambo haya yatakuwa ni amri ya hukumu kwenu, katika vizazi vyenu vyote, katika makazi yenu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sheria hizi zitakuwa masharti na maagizo katika vizazi vyenu vyote, pahali popote mutakapokaa.