Numbers 35:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miji hiyo itakuwa yao, nao watakaa humo na malisho yake yatakuwa kwa ajili ya ng'ombe na mifugo yao pamoja na wanyama wao wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha watakuwa na miji ya kuishi na maeneo ya malisho kwa ajili ya ng’ombe wao, mbuzi na kondoo wao, na mifugo yao mingine yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiyo miji watakuwa nayo ili wakae humo, na malisho watakuwa nayo kwa wanyama wao wa mifugo, na kwa mali zao, na kwa wanyama wao wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miji hiyo itakuwa yao, nao watakaa humo na malisho yake yatakuwa kwa ajili ya ng'ombe na mifugo yao pamoja na wanyama wao wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha watakuwa na miji ya kuishi na maeneo ya malisho kwa ajili ya ng'ombe zao, mbuzi, kondoo na mifugo yao mingine yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha watakuwa na miji ya kuishi na maeneo ya malisho kwa ajili ya ng’ombe zao, mbuzi, kondoo na mifugo yao mingine yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiyo miji watakuwa nayo ili wakae humo, na malisho watakuwa nayo kwa wanyama wao wa kufugwa, na kwa mali zao, na kwa wanyama wao wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miji hiyo itakuwa yao, nao watakaa humo na malisho yake yatakuwa kwa ajili ya ng'ombe na mifugo yao pamoja na wanyama wao wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hiyo miji iwe yao ya kukaa, nayo malisho yawe ya ng'ombe wao na ya mbuzi na ya kondoo wao na ya nyama wao wengine wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiyo miji watakuwa nayo ili wakae humo, na malisho watakuwa nayo kwa wanyama wao wa mifugo, na kwa mali zao, na kwa wanyama wao wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miji hiyo itakuwa yao, nao watakaa mule na malisho yake yatakuwa kwa ajili ya ngombe na mifugo yao pamoja na nyama wao wengine.